Machafuko yaliyoshuhudiwa Tanzania yalichochewa kutoka nje- Waziri Mkuu Serikali ya Tanzania, imedai kuwa maandamano yaliyosababisha maafa mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa hilo ...
Uchaguzi wa Tanzania ulifanyika wakati wapinzani wakuu wa rais Samia wakiongozwa na Tundu Lissu wakifungwa jela wengine wakiwa wamezuiliwa kushiriki kwenye uchaguzi huo. Maandamano yamekuwa ...
Ripoti mpya kuhusu machafuko ya wakati wa uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania imesema vikosi vya usalama viliwafyatulia risasi waandamanaji waliokuwa wakikimbia na kufanya "mauaji ya kiholela." Ripoti ...
Wakati Tume ya Uchunguzi wa Machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 nchini Tanzania ikitarajiwa kuanza kazi muda wowote kuanzia sasa, bado wengine wanahoji uwezo na mgongano wa kimaadili wa ...
Umoja wa Afrika umepongeza rais anayemaliza mda wake nchini Tanzania, Samia Suluhu Hassanambaye alishaguliwa tena hivi karibu kwa muhula mwigine kwa ushindi wake. Umoja wa Afrika, AU umepongeza ...
Serikali ya Tanzania, imedai kuwa maandamano yaliyosababisha maafa mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa hilo, yalipangwa na kudhaminiwa na watu wenye nia mbaya na maslahi ya taifa ...