Maelezo ya picha, Zaidi ya miaka 33 baadaye, bondia huyo wa zamani alietia fora bado anaweza kujivunia kuwa mtu hatari zaidi duniani. 5 Mei 2020 Katika mazungumzo ya wiki hii kuhusu ndondi , ...
Mabondia nyota wa Kenya Benson Gicharu uzani wa bantam, Rayton Okwiri uzani wa welter na Nick Abaka uzani wa middle wameruhusiwa na shirikisho la kimataifa la ndondi, Aiba, kuiwakilisha Kenya katika ...
Wanamasumbwi hawa wanatarajiwa kupigana mwezi Septemba mwaka huu katika uwanja wa Las Vegas, Netflix ilitangaza siku ya Jumatatu. Pambano kati ya majina mawili makubwa ya ndondi ambao walipigana mwaka ...
Nairobi, Kenya – Kampuni ya kukuza michezo kutoka Uganda ’12 Sports Round’ inatarajiwa kuandaa maonyesho yake ya kwanza kabisa nchini Kenya ya mapigano 11 yaliyopewa jina ‘Umeme Night, Hakuna Mchezo’ ...
Rais wa shirikisho la ndondi la Ujerumani, DBV, amesema kutengwa hivi karibuni kwa shirikisho la mchezo huo duniani, IBA, na kamati ya kimataifa ya Olimpiki kunafanya mambo kuwa magumu lakini olimpiki ...
Wengi walikuwa na mashaka kuhusu uwezekano wa bondia Bruno Tarimo kuwa na mafanikio, alipoondoka Tanzania kufuata ndoto zake za kuwa bingwa wa ndondi za WBF nchini Australia. Ilimbidi adhibiti mashaka ...
Bingwa wa zamani wa Ukraine wa ngumi za uzito wa juu Wladmir Klitschko ametangaza kustaafu kutoka mchezo wa ndondi. Anaondoka ulimwengu wa ndondi akiwa na rekodi ya ushindi katika mapigano 64 na ...