KAUNTI za Nairobi na Nakuru zinadaiwa Sh75.7 bilioni za mapato ambayo hayajalipwa, kiasi kinachozidi madeni yanayodaiwa na ...
SIASA za vibaraka wanaodaiwa kupenyezwa na serikali zimezua hofu na kutoaminiana katika upinzani na kutishia umoja wao ...
MWENDESHAJI wa bodaboda ambaye jina lake limefichwa, Paul*, amewaambia wachunguzi wa mauaji jinsi alivyohusika bila kujua ...
SENETA WA Nairobi Edwin Sifuna jana alizindua rasmi chama cha The Equitable Party (TEP) atakachotumia katika uchaguzi mkuu ...
KAMPUNI inayojihusisha na ubunifu wa kidijitali, Wave 360 Africa, imetambuliwa na serikali kwa mchango wake katika kukuza sekta ya ubunifu nchini. Kampuni hiyo ilipokea utambuzi huo wakati wa ...
ASUBUHI kabla ya safari yake ya mwisho, Scholastica Ochieng alimwambia kasisi wake, Padri Patrick Maingi, kuwa kukamilisha ...
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga, Jumamosi, alitawazwa kwa njia ya ishara na baadhi ya wazee wa jamii ya Waluo kuwa mrithi wa kisiasa wa babake marehemu Raila Odinga. Hafla ...
UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya chama. Waziri wa ...