KAMPUNI inayojihusisha na ubunifu wa kidijitali, Wave 360 Africa, imetambuliwa na serikali kwa mchango wake katika kukuza sekta ya ubunifu nchini. Kampuni hiyo ilipokea utambuzi huo wakati wa ...
KAUNTI za Nairobi na Nakuru zinadaiwa Sh75.7 bilioni za mapato ambayo hayajalipwa, kiasi kinachozidi madeni yanayodaiwa na ...
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga, Jumamosi, alitawazwa kwa njia ya ishara na baadhi ya wazee wa jamii ya Waluo kuwa mrithi wa kisiasa wa babake marehemu Raila Odinga. Hafla ...
SIASA za vibaraka wanaodaiwa kupenyezwa na serikali zimezua hofu na kutoaminiana katika upinzani na kutishia umoja wao ...
MWENDESHAJI wa bodaboda ambaye jina lake limefichwa, Paul*, amewaambia wachunguzi wa mauaji jinsi alivyohusika bila kujua ...
SENETA WA Nairobi Edwin Sifuna jana alizindua rasmi chama cha The Equitable Party (TEP) atakachotumia katika uchaguzi mkuu ...
UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya chama. Waziri wa ...
ASUBUHI kabla ya safari yake ya mwisho, Scholastica Ochieng alimwambia kasisi wake, Padri Patrick Maingi, kuwa kukamilisha ...
HALI ya wasiwasi ilizuka nje ya Kanisa la Redeemed Gospel, Buruburu jijini Nairobi, Jumapili baada ya mamia ya vijana ...
NI rahisi sana kuzoea ‘mavazi sare’ yenye rangi tulivu zinazofanana au zinazokaribiana sana na miundo ileile inayofanya ...
KUPATA maarifa ya vitabu na kwenda shule ni kitu kizuri sana na kwa vyovyote vile, kadri ya uwezo wako, jitahidi kupata au kujiendeleza kielimu.  Elimu haina umri uwe mtoto, kijana au umepevuka ...
KABLA ya mwanaume na mwanamke kufunga ndoa, kuna hatua kadhaa za kisheria zinazopaswa kufuatwa. Miongoni mwa hatua hizo ni kutoa taarifa rasmi ya nia ya kufunga ndoa. Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa, ...