DIWANI wa Viti Maalumu Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Josephine Gunda amependekeza vituo vya elimu ya Watu wazima kuanzishwa ...
Kipa wa Coastal Union, Levy Matamp (kushoto), akiwahi kudaka mpira dhidi ya beki wa kati wa Simba, Abdulrazak Hamza ...
SERIKALI ya Zanzibar imezuia matumizi na usafirishaji wa mawe katika shughuli za ujenzi kwa sababu mbalimbali ikiwamo ya hali ...
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) inatarajia kuanza kuhudumia wagonjwa wa nje 1,500 hadi 3,000 ...
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake Tanzania (TWFA), inatarajia kukutana leo ili kufanya uteuzi wa ...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amefikisha pasi nne za mabao katika michezo ya Ligi Kuu Bara na ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua nyumba pacha ya walimu wa Shule ya Sekondari Lubonde, ...
MFUMO wa stakabadhi ghalani umeleta manufaa makubwa kwa wakulima wa dengu mkoani Singida na kwa kipindi cha miezi miwili, ...
KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk. Hashil Abdallah, ameitaka Menejimenti ya Wakala wa Vipimo (WMA) kutekeleza ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amezitahadharisha timu za Ligi Kuu Tanzania Bara zitapata 'tabu' kuwazuia wachezaji wake ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha polisi cha Daraja B Wilaya ya Chemba, mkoani Dodoma kunakwenda kusogeza huduma za kipolisi karibu za ...
Wanawake watatu wakazi wa Mkoa ya Njombe na Iringa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kuiba vitenge 414 kwenye maduka matatu tofauti yaliyopo katika eneo la Soko Kuu Manispaa ...